• HABARI MPYA

  Sunday, September 04, 2022

  MBAPPE APIGA MBILI, PSG YASHINDA 3-0 UFARANSA


  MSHAMBULIAJI Kylian Mbappe jana amefunga mabao mawili kuiwezesha Paris Saint-Germain kushinda 3-0 ugenini dhidi ya Nantes katika mchezo wa Ligi ya Ufaransa Uwanja wa De la Beaujoire - Louis Fonteneau Jijini Nantes.
  Mfaransa huyo aalifunga mabao yake dakika za 18 na 54, wakati bao lingine la PSG lilifungwa na Nuno Mendes dakika ya 68 kabla ya Nantes katika mchezo ambao Nantes ilimaliza pungufu Fabio kutolewa kwa kadi nyekundu ya 24.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE APIGA MBILI, PSG YASHINDA 3-0 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top