KOCHA Mzambia, Hanoor Janza ameita wachezaji 23 kuunda kikosi cha timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Libya hivi karibuni - miongoni mwao ni beki Abdi Hassan Banda anayechezea Chippa United ya Afrika Kusini.
0 comments:
Post a Comment