• HABARI MPYA

  Wednesday, September 07, 2022

  MABINGWA WATETEZI REAL MADRID WASHINDA 3-0 GLASGOW


  MABINGWA watetezi, Real Madrid wameanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 3-0 katika mchezo wa Kundi F Uwanja wa Kundi F Uwanja wa Venue Celtic Park Jijini Glasgow.
  Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Vinicius Jr dakika ya 56, Luka Modric dakika ya 60 na Eden Hazard dakika ya 77.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABINGWA WATETEZI REAL MADRID WASHINDA 3-0 GLASGOW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top