• HABARI MPYA

  Saturday, September 24, 2022

  SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU


  TIMU ya taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top