• HABARI MPYA

  Thursday, September 08, 2022

  SIMBA SC TAYARI WAPO MALAWI KUIVAA BULLETS JUMAMOSI


  KIKOSI cha Simba kimewasili salama nchini Malawi kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets Jumamosi Uwanja wa wa Taifa wa Bingu Jijini Lilongwe.
  Katika mchezo huo, Simba itaongozwa na kocha mpya wa Muda, Juma Mgunda kufuatia kuondoka kwa Mserbia, Zoran Manojlovic Maki aliyedumu kwa miezi miwili tu kazini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC TAYARI WAPO MALAWI KUIVAA BULLETS JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top