• HABARI MPYA

  Tuesday, September 20, 2022

  TAIFA STARS YAENDA LIBYA KUWAVAA WENYEJI NA UGANDA


  KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars kimeondoka Alfajiri ya leo kwenda Libya kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki katika Kalenda ya FIFA dhidi ya wenyeji, Libya na Uganda.


  Mechi ya kwanza Taifa Stars itacheza Septemba 24 dhidi ya Uganda, kabla ya kuwavaa Libya Septemba 27, wakati The Cranes pia itakipiga na wenyeji kesho katika michunao hiyo mifupi ya kirafiki ya kimataifa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YAENDA LIBYA KUWAVAA WENYEJI NA UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top