• HABARI MPYA

  Friday, September 23, 2022

  TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23


  TANZANIA imelazimishwa sare ya bila kufungana na Sudan Kusini katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) chini ya umri wa miaka 23 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Timu hizo zitarudiana Septemba 26 na mshindi wa jumla atasonga mbele.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top