• HABARI MPYA

  Wednesday, September 14, 2022

  MKUU WA MKOA AWAPA SIKU 60 WAVAMIZI UWANJA WA SIMBA BUNJU KUHAMA


  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea uwanja wa klabu ya Simba, Mo Simba Arena uliopo Bunju na kuwapa siku 60 waliovamia eneo hilo kuhama.
  Pamoja na hayo, Makalla ameiruhusu Simba SC kuendelea na mradi wa ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo la Uwanja huo.
  Na Mkandarasi aliyepewa tenda ya  ujenzi huo alifika pia kwenye eneo hilo kufanya tathmini ya mwisho tayari kuanza kazi.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKUU WA MKOA AWAPA SIKU 60 WAVAMIZI UWANJA WA SIMBA BUNJU KUHAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top