• HABARI MPYA

  Sunday, September 25, 2022

  SIMBA SC YAICHAPA MALINDI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ZANZIBAR


  BAO pekee la Nassor Kapama dakika ya 13 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malindi katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amaan, Zanzibar.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAICHAPA MALINDI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top