KOCHA wa Muda wa Simba SC, Juma Ramadhani Mgunda ni miongoni mwa walimu wenye Diploma A ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema Mwamba Mgunda ni miongoni mwa makocha 21 nchini wenye kiwango hicho cha elimu ya ufundishaji mpira na wengine 21 wenye elimu zinazofanana (Equivalent) na CAF A.
0 comments:
Post a Comment