• HABARI MPYA

  Tuesday, September 06, 2022

  SERIKALI YAAGIZA BMT KUFANYIA KAZI VIPIGO VYA STARS, MWAKINYO


  WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Omary Mchengerwa ameliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kufanyia kazi matokeo mabaya ya timu ya taifa ya soka na kilichotokea kwenye pambano la bondia Hassan Mwakinyo Uingereza mwishoni mwa wiki.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERIKALI YAAGIZA BMT KUFANYIA KAZI VIPIGO VYA STARS, MWAKINYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top