Mwanzo > LIGI KUU BARA > JUMA MWAMBUSI NDIYE KOCHA WA IHEFU SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA JUMA MWAMBUSI NDIYE KOCHA WA IHEFU SC BAADA ya kupoteza mechi zote tatu za mwanzo za Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Ihefu SC imemteua Juma Mwambusi kuwa Kocha Mkuu badala ya Zubery Katwila aliyeshuka na kupanda na timu hiyo. Saturday, September 17, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA
0 comments:
Post a Comment