TWIGA STARS YATOA SARE NA BOTSWANA 0-0 COSAFA AFRIKA KUSINI
MABINGWA watetezi, Tanzania wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Botswana katika mchezo wa Kundi D michuano ya Wanawake ya COSAFA leo Uwanja wa Madibaz mjini Port Elizabeth nchini Afrika Kusini. Twiga Stars inafikisha pointi nne baada ya ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Comoro.
0 comments:
Post a Comment