• HABARI MPYA

  Thursday, September 29, 2022

  DODOMA JIJI YAZINDUKA, YAILAZA GEITA GOLD 1-0


  WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamepata ushindi wa kwanza wa msimu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Geita Gold 1-0, bao pekee la Collins Opare dakika ya 29 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
  Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji inafikisha pointi tano na kusogea nafasi ya tisa, wakati Geita Gold inabaki na pointi zake tatu nafasi ya 13 baada ya wote kucheza mechi tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DODOMA JIJI YAZINDUKA, YAILAZA GEITA GOLD 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top