• HABARI MPYA

  Wednesday, September 28, 2022

  TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA SOKA LA UFUKWENI COSAFA

  TANZANIA imekaza msuli na kupata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Soka la Ufukweni ya COSAFA baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Mauritius leo ufukwe wa South Beach nchini Afrika Kusini.
  Ikumbukwe mechi zote mbili za awali Tanzania ilifungwa 4-3 na Misri na 4-2 na Uganda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA SOKA LA UFUKWENI COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top