• HABARI MPYA

  Friday, September 23, 2022

  AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA TP MAZEMBE NDOLA  TIMU ya Azam FC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Levy Mwanawaswa Jijini Ndola nchini Zambia.
  Bao la Azam FC limefungwa na kiungo mshambuliaji Muivory Coast, Kipre Junior dakika ya 36, kabla ya Zemanga kuisawazishia TP Mazembe dakika ya 57.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATOA SARE 1-1 NA TP MAZEMBE NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top