• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  TANZANIA PRISONS YAICHAPA POLISI 1-0 SOKOINE


  WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania ya Kilimanjaro katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Bao pekee la Prisons limefungwa na Jumanne Elfadhili dakika ya 17 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 22 katika mchezo wa 21 na kusogea nafasi ya 13, wakati Polisi inabaki na pointi zake 25 za mechi 21 nafasi ya nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA PRISONS YAICHAPA POLISI 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top