• HABARI MPYA

  Sunday, May 22, 2022

  MBAPPE AAMUA KUBAKI PSG HADI 2025


  Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe amesaini mkataba mpya wa kuendelea na kazi Paris Saint-Germain hadi mwaka 2025.
  Pichani, Mbappe akiwa na Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi kabla ya mechi na Metz.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAPPE AAMUA KUBAKI PSG HADI 2025 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top