• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 30, 2022

  YANGA SC YAACHANA KWA AMANI NA NTIBANZOKIZA


  KLABU ya Yanga imeachana na kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzokiza baada ya misimu miwili ya kuitumikia timu hiyo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAACHANA KWA AMANI NA NTIBANZOKIZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top