• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  SERENGETI GIRLS YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA


  TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefanikiwa kusonga mbele Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya Kombe la Dunia baadaye mwaka huu India licha ya kuchapwa 2-1 na Burundi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Ni mtaji wa ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kwanza katikati ya mwezi uliopita unawafanya Girls wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-2 na sasa watamenyana na Cameroon katika Raundi ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya India katika Fainali ambazo zitaanza Oktoba 11 hadi 30.
  Cameroon imeitoa Zambia 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI GIRLS YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top