• HABARI MPYA

  Monday, May 16, 2022

  HONGERA IHEFU SC KWA KUREJEA LIGI KUU


  TIMU ya Ihefu ya Mbalizi mkoani Mbeya imefanikiwa kurejea Ligi Kuu baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Pan Africans jana – pongezi kwa kocha Zuberi Katwila aliyeshuka na kupanda nayo timu hiyo. 
  Ihefu inaungana na DTB ya Dar es Salaam kupanda Ligi Kuu, timu hizo mbili zikiwa zinamalzia msimu kwa kuwania ubingwa wa Championship.
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HONGERA IHEFU SC KWA KUREJEA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top