• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2022

  MAMBO YALIVYOKUWW UZINDUZI ZIARA YA KOMBE L DUNIA 2022


  WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mohamed Mchengerwa akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa Meneja Mkuu wa Biashara wa Coca-Cola Tanzania, Hellen Masumba wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi ziara ya siku mbili ya Kombe la Dunia linalotarajia kuwasili nchini Mei 31 mwaka huu. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu (TFF) Wallace Karia.

  Meneja Mwanadamizi wa Masoko Coca Cola Tanzania, Kabula Shimo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) kuhusu ziara ya siku mbili ya Kombe la Dunia linalotarajia kuwasili nchini Mei 31 mwaka huu. Kulia ni Meneja Mawasialiono WA Coca cola East Africa Paul Victor Oloo na Salum Nassor Mkurugenzi wa Mahusiano Coca Cola Kwanza.

  Meneja Mwanadamizi wa Masoko Coca Cola Tanzania, Kabula Shimo (kushoto) akimfafanulia Waziri wa Utamaduni, sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa  kuhusu ziara ya siku mbili ya Kombe la Dunia linalotarajia kuwasili nchini Mei 31 mwaka huu. wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Cocacola Kwanza, Unguu Sulay. Kulia ni Meneja Mkuu wa Biashara wa Coca-Cola Tanzania, Hellen Masumba.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMBO YALIVYOKUWW UZINDUZI ZIARA YA KOMBE L DUNIA 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top