• HABARI MPYA

  Friday, May 06, 2022

  INONGA AKABIDHIWA TUZOYAKE YA APRILI


  BEKI Mkongo we Simba SC, Henock Inonga Baka 'Varane', amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Aprili na wadhamini, Emirate Aluminium Simba ACP ambao pia wamemkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 2.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: INONGA AKABIDHIWA TUZOYAKE YA APRILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top