• HABARI MPYA

    Tuesday, May 17, 2022

    KAMATI YAIPA USHINDI WA MEZANI NAMUNGO DHIDI YA MBEYA KWANZA


    KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipa ushindi Namungo FC baada ya wapinzani, Mbeya Kwanza kugomea mechi ya Ligi Kuu Ijumaa Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.
    Pamoja na hilo, Kamati imechukua hatua mbalimbali juu ya masuala tofauti ya ukiukwaji kanuni katika mechi za hivi karibuni.







    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAMATI YAIPA USHINDI WA MEZANI NAMUNGO DHIDI YA MBEYA KWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top