• HABARI MPYA

  Monday, May 30, 2022

  KIBWANA NA KIBU WALIPOPEANA POLE BAADA YA KUUMIZANA


  BEKI wa Yanga, Kibwana Shomari (kulia) na mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis wakipeana pole baada ya wawili hao kuumia kufuatia kugongana kwenye ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Wote walishindwa kuendelea na mchezo, Yanga ikiibuka na ushindi wa 1-0, bao pekee la Feisal Salum dakika ya 25.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIBWANA NA KIBU WALIPOPEANA POLE BAADA YA KUUMIZANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top