• HABARI MPYA

  Monday, May 30, 2022

  TAIFA STARS MAZOEZINI MKAPA KUJIANDAA KUZIBAA NIGER NA ALGERIA  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, “Taifa Stars” wakiwa kwenye mazoezi yaliyoanza jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kujandaa na michezo ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 dhidi ya Niger na Algeria itakayochezwa Juni 4 ugenini na Juni 8 nyumbani, Benjamin Mkapa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS MAZOEZINI MKAPA KUJIANDAA KUZIBAA NIGER NA ALGERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top