• HABARI MPYA

  Thursday, May 26, 2022

  PRISONS NA GEITA GOLD ZAGAWANA POINTI SOKOINE


  WENYEJI, Tanzania Prisons wamegawana pointi na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Jeremiah Juma alianza kuifungia Tanzania Prisons dakika ya 38, kabla ya Danby Lyanga kuisawazishia Geita Gold dakika ya 50.
  Kwa matokeo hayo, Prisons inafikisha pointi 25 na kusogea nafasi ya 14, wakati Geita Gold pamoja na kufikisha pointi 36 inabaki nafasi ya tano baada ya wore kucheza mechi 26.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRISONS NA GEITA GOLD ZAGAWANA POINTI SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top