• HABARI MPYA

  Wednesday, May 18, 2022

  MWAMNYETO AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI YANGA


  BEKI wa kati wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kufanya kazi Jangwani. 
  Mwamnyeto alijiunga na Yanga Julai mwaka 2020 kutoka Coastal Union ya Tanga na amekuwa na misimu miwili mizuri ya awali hadi kupewa Unahodha wa timu. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAMNYETO AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top