• HABARI MPYA

  Monday, May 30, 2022

  WAZIRI WA MICHEZO AWATEMBELEA SERENGETI GIRLS KAMBINI ZANZIBAR


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa na Naibu wake Pauline Gekul pamoja na baadhi ya viongozi wa wizara na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana wametembelea kambi ya timu ya soka ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls baada ya kutembelea kambi yao Zanzibar kujiandaa na mchezo wa mwisho wa marudiano Kufuzu Kombe la Dunia baadaye mwaka huu nchini India.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI WA MICHEZO AWATEMBELEA SERENGETI GIRLS KAMBINI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top