• HABARI MPYA

  Monday, May 30, 2022

  TWIGA STARS WANAVYOJIANDAA NA KOMBE LA CHALLENGE KAMBINI BUKOBA
  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Twiga Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Kagera kujiandaa na mashindano ya CECAFA Challenge Wanawake yatakayofanyika Uganda mwezi Juni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS WANAVYOJIANDAA NA KOMBE LA CHALLENGE KAMBINI BUKOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top