• HABARI MPYA

  Friday, May 27, 2022

  SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI KIRUMBA


  KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini kwa makosa tofauti kwenye mechi zao kadhaa zilizopita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zikiewemo za Jumapili na Jumatatu Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top