NI SIMBA QUEENS TENA MABINGWA LIGI YA WANAWAKE 2022
WACEZAJI wa Simba Queens wakishangilia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Bao Bab Queens leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment