• HABARI MPYA

  Friday, May 20, 2022

  MATOLA AKIWAPA SOMO MAKOCHA WAZUNGU SIMBA


  MAKOCHA wa Simba, Mspaniola Pablo Franco na wasaidizi wake, Suleiman Matola na Daniel Reyes,
  wakijadiliana mambo katika mazoezi ya timu hiyo kuelekea mchezo wao Jumapili dhidi ya Geita Gold Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATOLA AKIWAPA SOMO MAKOCHA WAZUNGU SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top