BEKI chipukizi wa Yanga, Kibwana Ally Shomari amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya Yanga. Kibwana ambaye mkataba wake wa awali aliosaini mwaka juzi akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro unamalizika mwezi ujao, sasa ataendelea kuwa mali ya Jangwani hadi Juni 2024.
0 comments:
Post a Comment