• HABARI MPYA

  Tuesday, May 31, 2022

  NI WYDAD CASABLANCA MABINGWA AFRIKA 2022


  WENYEJI, Wydad Athletics wamefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Mfalme Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco.
  Mabao yote ya Wydad yamefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco, Zouheir El-Moutaraji mwenye umri wa miaka 26, moja kila kipindi, la kwanza dakika ya 15 na la pili dakika ya 45.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI WYDAD CASABLANCA MABINGWA AFRIKA 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top