• HABARI MPYA

  Friday, May 06, 2022

  WACHEKI MIRIAM ODEMBA NA ARSENE WENGER HAPA


  MWANAMITINDO maarufu wa Kitanzania, Miriam Odemba akiwa na kocha maarufu Mfaransa, Arsene Wenger ambaye alójenla jina zaidi akiwa na klabu ya Arsenal kuanzia mwaka 1996 hadi 2018 kwenye ndege kwa pamoja wakitoka Doha, Qatar kwenda Ufaransa wanapoishi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEKI MIRIAM ODEMBA NA ARSENE WENGER HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top