// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARAJIGA NDIYE REFA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARAJIGA NDIYE REFA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI KIRUMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, May 25, 2022

  ARAJIGA NDIYE REFA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI KIRUMBA


  REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ndiye atakayechezesha mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  Arajiga atasaidiwa na Frank Komba wa Dar es Salaam na Mohamed Mkono wa Tanga, wakati refa wa akiba mezani atakuwa Heri Sasii wa Dar es Salaam.
  Nusu Fainali nyingine ya Kombe la TFF, maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya Azam FC na Coastal Union Jumapili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha itachezeshwa na Ramadhani Kayoko Wa Dar es Salaam atakayesaidiwa na Ferdinand Chacha wa Mwanza na Soud Lila wa Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARAJIGA NDIYE REFA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top