• HABARI MPYA

  Wednesday, May 04, 2022

  SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI


  KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini kwa makosa mbalimbali ya kikanuni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina yao ulionalizika kwa sare ya 0-0 Jumamosi iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top