• HABARI MPYA

  Wednesday, May 04, 2022

  YANGA YATOKA SARE NA RUVU 0-0 KIGOMA


  VINARA, Yanga SC wamelazimishwa sare ya 0-0 na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
  Yanga inafikisha pointi 56 katika mchezo wa 22 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 13 zaidi ya Mabingwa watetezi, Simba SC, wakati Ruvu imefikisha pointi 22 katika mechi 21 nafasi ya 13.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YATOKA SARE NA RUVU 0-0 KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top