EINTRACHT FRANKFURT WABEBA EUROPA LEAGUE KWA MATUTA
WACHEZAJI wa Eintracht Frankfurt wakisherehekea na taji lao la Europa League baada ya kukabidhiwa jana kufuatia ushindi wa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán Jijini Sevilla nchini Hispania.
0 comments:
Post a Comment