• HABARI MPYA

  Tuesday, May 10, 2022

  SIMBA SC WAZAWADIWA MILIONI 50 KUFIKA ROBO FAINALI AFRIKA


  Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa Sports Pesa, Tarimba Gulam Abbas, wadhamini wakuu wa Simba, akimkabidhi Nahodha wa klabu hiyo, Erasto Edward Nyoni mfano wa Gundi ya Sh. Milioni 50 ambayo ni zawadi ya kufika kwao Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu.  Tarimba Abbas akiwa ameshika hundi hiyo pamoja na Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez. Wengine pichani ni Meneja Habari wa Simba, Ahmed Ally (kulia) na Afisa Uhusiano wa Sports Pesa, Sabrina Msuya (kushoto).  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAZAWADIWA MILIONI 50 KUFIKA ROBO FAINALI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top