BAO la penalti la Deo Minga dakika ya 75 limetosha kuipa Mbeya Kwanza ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons leo Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma. Mbeya Kwanza inafikisha pointi 21 katika mchezo wa 22 nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, ikiizidi wastani wa mabao tu Coastal Union inayoshika mkia, ingawa ina mechi moja mkononi. Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 22 za mechi 22 sasa nafasi ya 14. Ikumbukwe timu mbili zitateremka daraja mwishoni mwa msimu na mbili zitakwenda kucheza na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.
Football mourns former FUFA President Era Mugisa
-
The Federation of Uganda Football Associations (FUFA) is deeply saddened by
the demise of Mr. Era Mugisa, who served as FUFA President from 1974 to
1976....
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment