• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  SIMBA WALIVYOWASILI MTWARA SAFARINI LINDI KUIFUATA NAMUNGO


  NYOTA wa Simba wakiwasili Uwanja naa Ndege wa Mtwara leo tayari kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Lindi ambako kesho watamenyana na wenyeji, Namungo Uwanja wa Lulu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuanzia Saa 10:00 jioni, mechi ambayo itaonyeshwa LIVE na chaneli ya AzamSports1HD.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA WALIVYOWASILI MTWARA SAFARINI LINDI KUIFUATA NAMUNGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top