• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  YANGA SC WALIVYOTUA KIGOMA KUIVAA RUVU SHOOTING JUMATANO


  MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mkongo Fiston Kalala Mayele akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumatano dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting.


  Kiungo Mganda, Khalid Aucho akiwapungia mkono mashabiki kuelekea mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Lake Tanganyika kuanzia Saa 10:00 jioni na kuonyeshwa na chaneli ya AzamSports1HD.


  Kipa Djigui Diarra akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuwasili Kigoma leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOTUA KIGOMA KUIVAA RUVU SHOOTING JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top