• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  SIMBA NA PAMBA KUMENYANA MEI 14 DAR


  ROBO Fainali ya mwisho ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baina ya wenyeji, Simba SC na Pamba FC ya Mwanza itachezwa Jumamosi ya Mei 14 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Ikumbukwe mshindi hapo atakutana na vinara wa Ligi Kuu, Yanga SC wakati Nusu Fainali nyingine ni kati ya Azam FC na Coastal Union ya Tanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA PAMBA KUMENYANA MEI 14 DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top