• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  EVERTON YAICHAPA CHELSEA 1-0 GOODISON PARK


  BAO pekee la mshambuliaji Mbrazil, Richarlison de Andrade dakik ya 46, limetosha kuipa Everton ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa Goodison Park, Liverpool.
  Everton inafikisha pointi 32 Katika mchezo wa 33, ingawa inabaki katika nafasi ya 18, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 66 za mechi 34 nafasi ya tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAICHAPA CHELSEA 1-0 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top