• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2022

  ARSENAL YAICHAPA WEST HAM 2-1 LONDON


  TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London usiku wa Jumapili.
  Mabao ya Arsenal yamefungwa na 
  Rob Holding dakika ya 38 na Gabriel Magalhães dakika ya 54, wakati la West Ham limefungwa na Jarrod Bowen dakika ya 45.
  Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 63 na kusogea nafasi ya nne, ikiizidi pointi mbili Tottenham Hotspur baada ya wote kucheza mechi 34.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA WEST HAM 2-1 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top