• HABARI MPYA

  Friday, September 10, 2021

  SIMBA NA YANGA DESEMBA 11 LIGI KUU


  WATANI wa jadi, Simba na Yanga watakutana Desemba 11 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Kwa mujibu wa ratiba ya h Kuu msimu wa 2021-2022 iliyotolewa leo, mechi ya kwanza kabisa ya msimu itachezwa Septemba 27 baina ya Mtibwa Sugar na Mbeya City Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA DESEMBA 11 LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top