• HABARI MPYA

  Saturday, September 04, 2021

  MWAKINYO ASHINDA KO, ATETEA TAJI LA ABU DAR  BONDIA Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea mkanda wake wa Chama cha Ngumi Afrika (ABU) baada ya ushindi wa Technical Knockout (TKO) raundi ya nne dhidi ya Mnamibia, Julius Indongo usiku wa Ijumaa ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
  Lakini mambo hayakuwa mazuri kwa Mtanzania mwingine, Tony Rashid kupigwa na Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini kwa TKO raundi ya pili katika pambano la ABU pia uzito wa Super Bantam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWAKINYO ASHINDA KO, ATETEA TAJI LA ABU DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top