• HABARI MPYA

  Friday, September 03, 2021

  AZAM YAICHAPA ZESCO 1-0 NDOLA

   BAO pekee la kiungo Mzambia, Rodgers Kola limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Zesco United katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola nchini Zambia.
  Huo ulikuwa mchezo wa tatu wa kujipima nguvu kwa Azam FC katika kambi yake ya Ndola kujiandaa na msimu mpya kufuatia kuchapwa 4-0 na Red Arrows na kushinda 1-0 dhidi ya Kabwe Worries.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM YAICHAPA ZESCO 1-0 NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top